sw_deu_text_reg/24/12.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 12 Iwapo ni mtu maskini, hautakiwi kulala na dhamana yake ikiwa mikononi mwako. \v 13 Hakika unapaswa kumrejeshea dhamana yake kabla jua halijazama, ili aweze kulala ndani ya vazi lake na akubariki; itakuwa utakatifu kwako mbele za Yahwe Mungu wako.