sw_deu_text_reg/24/01.txt

1 line
300 B
Plaintext

\c 24 \v 1 Mwanaume akimchukua mke na kumuoa, na mke asipokubalika machoni pa mumewe kwa sababu kagundua jambo ambalo si jema kwake, basi anatakiwa amwandikie talaka, aiweke mkononi mwake, na kumfukuza nyumbani kwake. \v 2 Akishaondoka nyumbani kwake, anaweza kwenda na kuwa mke wa mwanaume mwingine.