sw_deu_text_reg/04/47.txt

1 line
438 B
Plaintext

\v 47 Walichukua nchi yake kama urithi, na nchi ya Ogi mfalme wa Bashani- hawa, wafalme wawili wa Waamori, waliokuwa ng'ambo ya pili ya Yordani kuelekea Mashariki. \v 48 Himaya hii ilienda kutoka Aroer, katika ukingo wa bonde la Arnoni, kwa mlima wa Sioni (mlima Hermoni), \v 49 na ilijumuisha tambarare zote za bonde la mto Yordani, Mashariki mwa ng'ambo ya pili ya Yordani, kuelekea bahari ya Arabah, kuelekea miteremko ya mlima Pisgah.