sw_deu_text_reg/08/07.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 7 Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi ya vijito vya maji, visima na chemchemi, vitiririkavyo kwenda kwenye mabonde na miongoni mwa milima, \v 8 nchi ya ngano na shayiri, mizabibu, mtini, na komamanga; nchi mizeituni na asali.