sw_deu_text_reg/09/27.txt

1 line
402 B
Plaintext

\v 27 Akilini waite watumishi wenu Ibrahimu, Isaka, na Yakobo; msiangalie ukaidi wa watu hawa, wala maovu yao, dhambi zao, \v 28 ili kwamba nchi ambayo ulitutoa iseme, "Kwa sababu Yahwe hakuweza kuwaleta katika nchi aliyowaahadia, na kwa sababu aliwachukia, amewaleta nje kuwaua katika jangwa. \v 29 Bado ni watu wa kwenu na urithi wenu, ambao uliwatoa kwa nguvu zako kuu na kwa kuonyesha mamlaka yako,