sw_deu_text_reg/32/39.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 39 Tazama sasa mimi, hata mimi, ni Mungu, na kwamba hakuna mungu tofauti yangu; ninaua, na ninaleta uhai; ninajeruhi, na ninaponya, na hakuna mtu atakayekuokoa kutoka kwa uwezo wangu. \v 40 Kwa maana ninainua mikono yangu mbinguni na kusema, “Niishivyo milele, nitatenda.