sw_deu_text_reg/32/19.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 19 Yahwe aliliona hili na kuwakataa, kwa sababu watoto wake wa kiume na mabinti zake walimchokoza. \v 20 “Nitaficha uso wangu kwao”, alisema, “nami nitaona mwisho wao utakuaje; maana wao ni kizazi kaidi, watoto ambao sio waaminifu.