sw_deu_text_reg/32/09.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 9 Kwa maana fungu la Yahwe ni watu wake; Yakobo ni mgao wa urithi wake. \v 10 Alimpata katika nchi ya jangwa, na katika jangwa kame na livumalo upepo; alimkinga na kumtunza, alimlinda kama mboni ya jicho lake.