sw_deu_text_reg/31/24.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 24 Ikatokea kwamba Musa alipomaliza kuandika maneno ya sheria hii katika kitabu, \v 25 aliwaamuru Walawi waliobeba sanduku la agano la Yahwe, na kusema, \v 26 “Chukua kitabu hiki cha sheria na kiweke pembeni mwa sanduku la agano la Yahwe Mungu wenu, ili kiweze kuwa pale kama ushahidi dhidi yenu.