sw_deu_text_reg/31/14.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 14 Yahwe alimwambia Musa, “Tazama, siku inakuja ambayo lazima utakakufa; muite Yoshua na mjidhihirishe katika hema la makutano, ili kwamba niweze kuwapatia amri. ” Musa an Yoshua waliondoka na kujidhihirisha katika hema la makutano. \v 15 Yahwe alijifunua kwenye hema kwa nguzo ya wingu; nguzo ya wingu ilisimama juu ya mlango wa hema.