sw_deu_text_reg/29/14.txt

1 line
314 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 14 Kwa maana ninafanya agano hili na kiapo hiki sio na wewe tu \v 15 pamoja kila mtu aliyesimama hapa pamoja nasi leo mbele ya Yahwe Mungu wetu bali na wale ambao hawapo pamoja nasi leo pia. \v 16 Unajua jinsi tulivyoishi katika nchi ya Misri, na jinsi tulivyopenya miongoni mwa mataifa ambao uliwapita.