sw_deu_text_reg/28/54.txt

1 line
335 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 54 Mwanamume laini na mlegevu miongoni mwenu atakuwa na wivu kwa kaka yake na kwa mkewe, na kwa watoto wowote waliosalia. \v 55 Kwa hiyo hatawapatia kati yao nyama ya watoto wake ambayo ataenda kuila, kwa sababu hatabakiwa na chochote katika uvamizi na dhiki ambayo adui yako ataiweka juu yako ndani ya malango yote ya mji wako.