sw_deu_text_reg/28/49.txt

1 line
448 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 49 Yahwe ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka mwisho wa ulimwengu, kama tai arukaye kwa mhanga wake, taifa ambalo lugha yake hauelewi; \v 50 taifa lenye sura katili ambalo haliheshimu wazee na halionyeshi fadhila kwa wadogo. \v 51 Watakula wachanga wa ngombe wako na matunda ya ardhi yako hadi utakapoangamizwa. Hawatawaachia nafaka, divai mpya, au mafuta, wachanga wa ngombe au mifugo yako, hadi watakaposababisha kutoweka kwako.