sw_deu_text_reg/28/45.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 45 Laana hizi zote zitakujia juu yako na kukuandama na kukupita hadi utakapoangamizwa. Hii itatokea kwa sababu haukuisikia sauti ya Yahwe Mungu wako, ili kushikilia amri na maagizo yake aliyokuamuru. \v 46 Laana hizi zitakuwa juu yako kama ishara na miujiza, na juu ya uzao wako milele.