sw_deu_text_reg/27/24.txt

1 line
220 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 24 Alaaniwe mwanamume atakayemuua jirani yake kwa siri. Kisha watu wote lazima waseme, Amina. \v 25 Alaaniwe mwanamume apokeaye rushwa kumuua mtu asiye na hatia. Kisha watu wote lazima waseme, Amina.