sw_deu_text_reg/27/22.txt

1 line
235 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 22 Alaaniwe mwanamume atakayelala na dada yake, binti wa baba yake, au binti wa mama yake. Kisha watu wote lazima waseme, Amina. \v 23 Alaaniwe mwanamume atakayelala na mama mkwe. Kisha watu wote lazima waseme, Amina.