sw_deu_text_reg/27/20.txt

1 line
262 B
Plaintext
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 20 Alaaniwe mwanamume atakayelala na mke wa baba yake, kwa sababu atakuwa amechukua haki za baba yake. Kisha watu wote lazima waseme, Amina. \v 21 Alaaniwe mwanamume atakayelala na aina yoyote ya mnyama. Kisha watu wote lazima waseme, Amina.