sw_deu_text_reg/25/13.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 13 Haupaswi kuwa na mizani ya uzito tofauti katika mfuko wako, mkubwa na mdogo. \v 14 Hautakiwi kuwa na vipimo tofauti ndani ya nyumba yako, vikubwa na vidogo.