sw_deu_text_reg/25/09.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 9 Basi mke wa kaka yake anatakiwa kuja kwake mbele ya wazee, kumvua ndara zake miguuni mwake, na kumtemea usoni. Anapaswa kumjibu na kusema, “Hivi ndivyo kinachofanyika kwa mwanaume asiyetaka kujenga nyumba ya kaka yake”. \v 10 Jina lake Israeli litaitwa, “Nyumba ya mtu aliyevuliwa ndara zake”.