sw_deu_text_reg/22/25.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 25 Lakini kama mwanaume amemkuta msichana aliyechumbiwa shambani, na kama akamkamata na kulala naye, basi mwanaume pekee aliyelala naye ndiye lazima afe. \v 26 Lakini kwake msichana, msifanye chochote; hakuna dhambi inayostahili kifo kwake msichana. Kwa maana suala hili ni kama mwanaume amshambuliapo jirani yake na kumuua. \v 27 Kwa maana alimkuta shambani; msichana huyu aliyechumbiwa alipaza sauti, lakini hapakuwa na mtu wa kumuokoa.