sw_deu_text_reg/22/20.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 20 Ila kama jambo hili ni la kweli, kwamba ushahidi wa bikra ya binti haukupatikana, \v 21 basi wanapaswa kumpeleka binti mlangoni kwa baba yake, na kisha wanaume wa mji wake wanatakiwa kumpiga kwa mawe hadi afe, kwa sababu amefanya jambo la aibu katika Israeli, kwa kutenda kama kahaba chini ya nyumba ya baba yake, nanyi mtakuwa mmeondoa uovu miongoni mwenu.