sw_deu_text_reg/22/18.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 18 Wazee wa mji wanapaswa kumchukua mwanaume huyo na kumuadhibu; \v 19 nao wanapaswa kumtoza faini ya shekeli mia moja ya fedha, na kumpatia baba wa binti, kwa sababu mwanaume kasababisha sifa mbaya kwa bikra wa Israeli. Binti huyu anapaswa kuwa mke wake; mwanamume huyu hatakiwi kumfukuza katika siku zake zote.