sw_deu_text_reg/22/13.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 13 Iwapo mwanamume kachukua mke, kisha kalala naye, na baadae kumchukia, \v 14 na kisha kumtuhumu kwa vitu vya aibu na kumharibia sifa yake kwa kusema, “Nilimchukua huyu mwanamke, lakini nilipomkaribia sikukuta ushahidi waubikra kwake”.