sw_deu_text_reg/21/01.txt

1 line
268 B
Plaintext

\c 21 \v 1 Iwapo mtu amekutwa kauwawa ndani ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapatia kumiliki, kalala shambani, na haijulikani aliyemshambulia; \v 2 basi wazee wenu pamoja na waamuzi wenu wanapaswa kutoka nje, na kupima katika miji ambayo inamzunguka yule aliyeuawa.