sw_deu_text_reg/20/10.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 10 Wakati mtokapo kuteka mji, wafanye watu hao toleo la amani. \v 11 Kama watapokea amani na kufungua malango yao kwenu, watu wote wanaopatikana ndani yake wanapaswa kulazimishwa kuwafanyia kazi na wanapaswa kuwatumikia.