sw_deu_text_reg/20/08.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 8 Maakida wanapaswa kuzungumza zaidi kwa watu na kusema, "Ni mwanaume gani aliye hapa ambaye ni mwenye hofu au mnyonge? Acha aende na arudi nyumbani kwake, ili kwamba moyo wa ndugu yake usiyeyuke kama moyo wake. \v 9 Wakati maakida wamemaliza kuzungumza na watu, wanapaswa kuwateua majemedari juu yao.