sw_deu_text_reg/20/02.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 3 \v 2 Wakati unakaribia kuingia kwenye vita, kuhani anapaswa kuwaambia,"Sikilizeni, Israel, mnaenda kupigana dhidi ya maadui zenu. Msidhofishe mioyo yenu. Msiohofu au kutetemeka. Msiwaogope. \v 4 Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu ndiye aendaye pamoja nanyi kupigana kwa ajili yenu dhidi ya maadui zenu na kuwaokoa.