sw_deu_text_reg/18/20.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 20 Lakini nabii ambaye anazungumza neno kwa kiburi kwa jina langu, neno ambalo sijamuamuru kusema, au ambaye anayezungumza kwa jina la miungu mingine, huyo nabii atakufa. \v 21 Hivyo ndivyo unapaswa kusema katika mioyo yenu: "Tutagunduaje kuwa ujumbe ambao Yahwe hajazungumza?