sw_deu_text_reg/18/17.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 17 Yahwe alisema nami, "Kile walichosema ni kizuri. \v 18 Nitamwinua nabii kwa ajili yao kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe. Nitaweka maneno yangu katika kinywa chake, na ataongea nao yote niliyowakuamuru. \v 19 Itakuwa kama yeyote hatasikia maneno yangu ambayo anazungumza kwa jina langu, nitalitaka kwake.