sw_deu_text_reg/18/12.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 12 Kwa yeyote afanyae mambo haya ni chukizo kwa Yahwe; ni kwa sababu ya machukizo haya ambayo Yahwe Mungu wenu anawaondosha mbele zenu. \v 13 Mnapaswa kuwa wakamilifu mbele ya Yahwe Mungu wenu. \v 14 Kwa mataifa haya ambayo mtayafukuza kusikiliza wale wafanyao uchawi na uganga; lakini kwenu, Yahwe Mungu wenu amewakataza ninyi kufanya hivyo.