sw_deu_text_reg/18/09.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 9 Wakati mmekuja katika nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa, mnapaswa kujifunza kuangalia machukizo ya mataifa. \v 10 Pasipatikane miongoni mwenu mmoja anayemweka kijana wake au binti yake kwenye moto, yeyote anatumia uganga, yeyote anatabiri, au mchawi, mchawi yeyote, \v 11 yeyote aongeae na wafu, au yeyote aongeae na roho.