sw_deu_text_reg/17/12.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 12 Yeyote anayefanya kwa kiburi, kwa kutomsikiliza kuhani anayesimama kutumika mbele ya Yahwe Mungu wako, au kwa kutomsikiliza mwamuzi- huyu mtu atakufa; mtaweka mbali uovu kutoka Israeli. \v 13 Watu wote wanapaswa kusikia na kuogopa, na kutofanya kwa kiburi tena.