sw_deu_text_reg/15/01.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 1 Kila mwisho wa kila miaka saba, mnapaswa kufuta madeni. \v 2 Hii ni tabia ya ukombozi. Kila mkopeshaji atafuta kile alichompa jirani yake, hata dai kutoka kwa jirani yake au ndugu yake kwa sababu ufutaji wa madeni wa Yahwe umetangazwa. \v 3 Kutoka kwa mgeni mnaweza kudai; lakini kwa chochote chenu kilicho na ndugu yenu mnapaswa mkitoe.