sw_deu_text_reg/14/18.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 18 Hampaswi kula korongo, aina yoyote ya kongoti, hudihudi, na popo. \v 19 Wote wenye mabawa; vitu vya utando ni najisi kwenu; havipaswi kuliwa. \v 20 Mnaweza kula vitu vyote virukavyo.