sw_deu_text_reg/14/11.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 11 Ndege wote safi mnaweza kula. \v 12 Lakini hawa ni ndege ambao hampaswi kula: tai, tumbusi, kipungu, \v 13 mwewe mwekundu na mweusi, aina yoyote ya kipanga.