sw_deu_text_reg/14/09.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 9 Haya yaliyo ndani ya maji mnaweza kula: chochote kilicho na mapesi na magamba; \v 10 lakini chochote kisichokuwa na mapesi na magamba msile; ni najisi kwenu.