sw_deu_text_reg/14/03.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 3 Hampaswi kula kitu chochote kilicho chukizo. \v 4 Hawa ni wanyama ambao mnaweza kula: ng'ombe, kondoo, mbuzi, \v 5 kulungu, paa, kulungu wa kiume, mbuzi wa mwituni, paa mweupe na pofu na kondoo wa mlimani