sw_deu_text_reg/13/15.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 15 Utawashambulia hakika wenyeji wa mji huo kwa makali ya upanga. Utaangamiza kabisa na watu wote walio ndani yake, pamoja na mifugo yake, pamoja na makali ya upanga. \v 16 Utakusanya nyara zote kutoka katikati mwa mitaa yake na utaunguza mji, pamoja na nyara zake zote - kwa kuwa Yahwe Mungu wako. Mji utakuwa mchungu wa uharibifu milele; haupaswi kujengwa tena.