sw_deu_text_reg/13/12.txt

1 line
474 B
Plaintext

\v 12 Kama utasikia yeyote anasema kuhusu moja ya miji yenu, kwamba Yahwe Mungu wenu anawapa kuishi ndani yake. \v 13 Baadhi ya wenzenu waovu wamewaacha miongoni mwenu na kuacha kwa mbali wakazi wa miji yao na kusema, "Acha tuende na kuabudu miungu mingine ambayo hamjaijua. \v 14 Basi utaichunguza uthibitisho, kufanya utafiti na kuipeleleza kwa kina. Wakati unagundua kwamba ni kweli na hakuna shaka kwamba chukizo hilo lililofanyika miongoni mwenu, kisha utachukua hatua.