sw_deu_text_reg/13/06.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 6 Tuseme kwamba ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa karibu nawe, au rafiki yako ambaye ni kama roho yako, kukushawishi kwa siri na kusema, "Acha tuende na tukaabudu miungu mingine ambayo hatujazijua, wala wewe wala mababu zako- \v 7 Miungu yeyote ya watu ambayo imewazunguka, karibu nanyi au mbali kutoka mwisho wa dunia kwenda mwisho mwingine wa dunia.