sw_deu_text_reg/12/29.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 29 Wakati Yahwe Mungu wenu anapunguza mataifa kutoka kwenu, wakati mnaingia kuwafukuza, na mnawafukuza na kuishi katika nchi yao, \v 30 muwe makini wenyewe ili kwamba msinaswe kwa kuwafuata, baada ya kuangamizwa kutoka kwenu kunaswa katika kuchunguza miungu yao, katika kuuliza, "Kwa namna gani haya mataifa yanaabudu muingu yao? Nitafanya vivyo hivyo.