sw_deu_text_reg/12/23.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 23 Lakini muwe na uhakika kwamba hamtumii damu, kwa kuwa damu ni uhai, hamtakula uhai pamoja na nyama. \v 24 Hamtakula, mtaimwaga nje kwenye ardhi kama maji. \v 25 Hamtakula, ili kwamba iweze kuwa vizur kwenu, na watoto wenu baada yenu, wakati mtafanya kile kilicho sahihi machoni pa Yahwe.