sw_deu_text_reg/12/12.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 12 Mtafurahi mbele za Yahwe Mungu wenu-nyie, na watoto wenu, binti zenu, wajakazi wa kiume, wajakazi wa kike, na Walawi walio ndani ya lango lenu, kwa sababu hana sehemu au urithi miongoni mwenu.