sw_deu_text_reg/10/18.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 18 Hutekeleza haki kwa yatima na wajane, na huonyesha upendo kwa mgeni kwa kumpa chakula na mavazi. \v 19 Kwa hivyo basi mpende mgeni; kwa kuwa mlikuwa wageni kutoka nchi ya Misri.