sw_deu_text_reg/10/16.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 16 Kwa hivyo basi taili ngozi za mioyo yenu, na msiwe wakaidi tena. \v 17 Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu, ni Mungu wa miungu na Bwana wa bwana, Mungu mkuu, mwenye nguvu na wakutisha, ambaye hapendelei yeyote na hapokei rushwa-