sw_deu_text_reg/10/03.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 3 Basi nilitengeneza sanduku la mbao za mikaratusi, na nikachonga mbao mbili za mawe kama zile za kwanza, na nikaenda juu ya mlima, nikiwa na mbao mbili mkononi mwangu. \v 4 Aliandika kwenye mbao, kama maandishi ya kwanza, amri kumi ambazo Yahwe amesema nanyi kwenye mlima kutoka katikati mwa moto katika siku ya kusanyiko; ndipo Yahwe alinipa.