sw_deu_text_reg/10/01.txt

1 line
274 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Kwa wakati ule Yahwe aliniambia, 'Chonga mbao mbili za mawe kama zile za kwanza, na njoo kwangu huku juu ya mlima, na utengeneze sanduku la mbao. \v 2 Nitaandika kwenye mbao maneno ambayo yalikuwa kwenye mbao za kwanza ulizozivunja, na utaziweka ndani ya sanduku.