sw_deu_text_reg/09/22.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 22 Huko Taberah, Massah, na huko Kibrothi Hattaavah, mlimchochea Yahwe kwenye adhabu. \v 23 Wakati Yahwe aliwatoa kutoka Kadeshi ya Barnea na kusema, 'Nenda juu na umiliki nchi ambayo nimekupa, 'ndipo mliasi dhidi ya agizo la Yahwe Mungu wenu, na hamkumwamini na kumsikiliza sauti yake. \v 24 Mmekuwa waasi dhidi ya Yahwe toka siku ile nilipowajua.