sw_deu_text_reg/09/13.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 13 Zaidi ya hayo, Yahwe alizungumza na mimi na kusema, "Nimewaona watu hawa; ni watu wakaidi. \v 14 Acha mimi peke yangu, ili kwamba niweze kuwaangamiza na kulifuta jina lao kutoka chini ya mbingu, na nitawafanya ninyi taifa lenye nguvu na kuu kuliko wao."