sw_deu_text_reg/09/03.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 3 Kwa hiyo tambua leo kwamba, Yahwe Mungu wenu ni yeye ambaye huenda mbele yenu kama moto uwalao; atawaharibu na kuwaangamiza mbele yenu, kwa hivyo mtawaondosha na kuwafanya kupotea kwa haraka, kama Yahwe alivyosema kwenu.